Search in the website:

Diaspora Show

12 novembre 2017

Read more

Swahili media|Vestine ajinyakulia ISANGANIRO AWARD awamu ya 6

Written by on 12 novembre 2017

Hili limekuwa kama ndoto isiyotimia kwa waimbaji wa kike nchini Burundi.Sasa siyo ndoto tena,Mwanamuziki wa kike mwenye miondoko ya nyimbo za injili ,anayetambulika kwa wengi kama vestine amejinyakulia tunzo nzima la ISANGANIRO AWARD ikiwa ni awamu ya sita yaanai 6TH EDITION. Mwanamuziki huyo amebeba tunzo hilo kwa ushindi wa wimbo wake uliopewa jina la VUGA,zaidi […]

Read More

7 novembre 2017

Read more

Swahilimedia| Maisha halisi ya SPOKS Man| Bio

Written by on 7 novembre 2017

Fahamu maisha halisi ya Mwanamuziki kutoka Nchini Burundi SPOKSMAN. Spoks alizaliwa tarehe 15, April mwaka 1992 katika Hospitali ya Prince Regent Charles iliyopo BURUNDI jijini Bujumbura na kupewa jina la Dushimirimana Eric . Akiwa na umri mdogo wazazi wake walifariki akalelewa Bwiza kwa bibi yake mzaa mama. Elimu yake ya Msingi yaani (Primary School) alianza […]

Read More

6 novembre 2017

Read more

Swahili media|DJ PRO awashia moto Mkali wa Show

Written by on 6 novembre 2017

Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Burundi anayetambulika kama DJ PRO amewasha moto kwa Msanii mwenzake anayetambulika kama MKALI WA SHOW kupitia wimbo wake mpya uliopewa jina la BLAA BLAA aliomshirikisha EMERY SUN. Nikukumbushe kuwa tofauti za hawa wasanii wawili zimeanzia kwenye mitandao ya kijamii ila kwa sasa tayari zimefika ndani ya jamii halisia ya […]

Read More

7 octobre 2017

Read more

Swahilimedia│ Happy Famba ataja kuja kivingine│Today Update

Written by on 7 octobre 2017

Mwanamuziki ambae ni CEO pia wa THE FIGHTER PRODUCTION amefunguka na kusema ujio wake mwingine baada ya kuwa kimya kwa muda mchache sana. Kupitia mahojiano na mwandishi wa SWAHILI MEDIA,HAPPY FAMBA amesema kwamba anatarajia kuachia wimbo wake mpya baada ya WHY ME ambao ni wimbo umefanya vizuri na kumjengea picha nyingine kwenye INDUSTRY NZIMA YA […]

Read More

21 septembre 2017

Read more

News│Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi

Written by on 21 septembre 2017

Kwa shangwe na ndelemo ambazo zimewapokea wasanii maarufu ambao wanaunda kundi nzima la SAUTI SOLO zimewafanya kujisikia wamefika kwenye ulimwengu mwingine ambao ni mpya na wenye ufahari wake. Walipowasili leo mchana wa tarehe 21 Septemba 2017 MAjira ya saa nane wamepokelewa na ndelemo za wapiga ngoma kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bujumbura kama […]

Read More

9 juillet 2017

Read more

ONLY YOU BY PDK DADDLUZ FEAT.MARIA ZULU| Download mp3

Written by on 9 juillet 2017

Mwanamuziki kutoka nchini burundi PDK DADDLUZ mwenye makaazi yake nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mpya akimshirikisha mwanamuziki wa kike raia wa Afrika kusini anayetambulika kwa jina la MARIA ZULU. Wimbo huo umepewa jina la ONLY YOU ukiwa umetengenezwa ndani ya studio za CAPITAIN SOUND RECORDS nchini afrika kusini. kuwa wa kwanza kupakua na kusikiliza […]

Read More