Kijana anayetambulika kwa jina la SUPER BOY toka LABEL ya WAKAVU CL ameonekana kuchemsha watu wengi kwenye muziki wa BUJA FLEVA baada ya kuachia wimbo wake wa kwanza unaobeba jina la IGIHEMU.

Kijana huyo mweye umri mdogo lakini ukimtazama ni tofauti sana na kazi anayoifanya kwenye muziki wake zaidi akionekana kuwa mwandishi mzuri kutokana na uzito na utamu wa mashairi yake,ameshangaza watu wengi sana kwa kazi yake ya kwanza na kuwafanya watamani kumfuatilia sana zaidi na kutaka kujua uhalisia wake kimuziki.

pakua kazi hio hapa chini.usisahau kuwashirikisha wenzako kwa mengi zaidi.

Favicon Burundi I Ujio wa SUPER BOY wachemsha wengi BUJA FLEVA