Mazumgumzo ambayo ili kuwa ime endeswa na rais wa zamani wa tanzania ‘Benjamin Mkapa’ ina onekana kama hahi lete matunda. Basi, ndani ya jamhuri ya Burundi, Tume ya Taifa ya mazungumzo baina ya Burundi ili hamuwa ku fanya mashauriano juu ya inchi. Moja la wazo ambalo wame leta ni kwamba:
Idadi Rais wa Jamhuri atumiye zaidi ya myaka miwili ya mamlaka kama Rais wa inchi.

Soma habari hihi katika luga ya kifaransa kwenye rfi.fr

Favicon Burundi Pendekezo la kurusu rais anaye tawala kuendelea na mamlaka yake dhidi ya miaka 2