Msanii ambae ni Producer kutoka nchini Burundi afunguka kuhusu wimbo wake mpya ambao ni gumzo kwa kila mtu nchi nzima hapo ni baada ya wimbo huo kuachiwa nje na kuanza kuchezwa huku ukiacha maswali mengi kwenye vichwa vya wapenzi wa muziki wake na Buja Fleva pia. Hit maker huyo wa SINZOHINDUKA ambae amejijengea jina zaidi baada ya kuachia wimbo uliotoka na video yake kwa muda mdogo tu sasa aja kivigine na kazi mpya ambayo imebeba jina la MUTIMA kazi ambayo imetengenezewa nchini jirani na Burundi RWANDA chini ya mkono wa Producer mashuhuri sana nchini humo PASTOR P chini ya udhamini wa BUKIVLAB.

Maswali ambayo yamejirudia zaidi ni yale ya kudai kuwa mwanamuziki huyo alichokiimba ni story yake ya kilicho mkuta.Je ni ukweli au rah?

Gazeti la SWAHILI MEDIAS kaama kawaida yetu hatukukaa ilibidi tumtafute msanii huyo kwa kufahamu mengi zaidi.

alifunguka na kutwambia kwamba alichokiimba  kamwe siyo stori yake ya kilichomkuta bali ni matokeo ambayo yapo mwa watu so ndio maana  wengi imewagusa na kuhisi kuwa labda alichokiimba ni ukweli.

Hakiki we mwenyewe ukisikiliza huo wimbo majibu utayapata.Pakua wimbo huo hapa chini bila chenga zozote,usisahau kuchangia yaani share na wenzako na kulike page yetu ili kuungana nasi kwa habari moto moto zaidi.

 

 

Favicon Burundi I Masterland afunguka kuhusu wimbo wake mpya