Mwanamuziki ambae bado ni mchanga sana kwenye muziki wa Burundi anayejulikana kwa jina laCHINO-B ambae yuko hini ya usimamizi wa MASTER-MUZIK ameachia wimbo wake mpya ambao unabeba jina la LOVE STORY ukiwa ni wimbo ambao umeja ujumbe mzuri wa mapenzi ukiufuata kiundani zaidi.

wimbo huo ambao uko unamjengea jina siku baada ya siku umetengenezewa chini ya jumba la MASTER-MUZI na producer MASTERLAND.

Kumbuka waweza kujipakulia wimbo huo hapa chini bila shida yoyote.usisahau kuwashirikisha wenzako  kwa habari zaidi.

Favicon Burundi l Pata kumfahamu chipukizi bora wa Buja fleva