DJ NC ambae anazungumuziwa kwa sana nchini Burundi sasa ameamua kudhihirisha uwezo wake zaidi.

DJ huyo ambae  ameonekana kufanya vizuri na kupiga hatua kubwa huu mwaka tokea aanze kazi zake,hapo ni baada ya kuwakilisha kazi zake sehemu mbalimbali huku akiacha picha isiyofutika vichwani mwa wapenzi wa Buja fleva.

Hii nyingine sasa nayo kali.

Jamaa baada ya kujikita kidogo kwenye uimbaji,na kuachia wimbo wake SHIKUZA ambao amemshilikisha RAPPER STICK toka OVERDO TEAM sasa yazungumziwa kwa sana.

Tazama moja kati ya kazi zake ili upate kujua mengi zaidi yanayomhusu DJ NC THE BADDEST kama anavyojiita.usisahau kuwashirikisha wenzako kwa mengi zaidi.

 

Favicon Burundi l DJ NC aonyesha ujasiri wake