BURUNDI Happy Famba 8211 Yule Official Video
Mwanamuziki Happy Famba kutoka nchini BURUNDI ameachia Video ya wimbo wake YULE uliotengenezwa na SOPRANO toka AFRICAN TOUCH MUSIC.Video ameisimamia Director BRIAN SMITH.

Tazama video yenyewe hapa chini.
Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

Favicon BURUNDI Happy Famba 8211 Yule Official Video