Mvua kali bukavu Bukavu Drc Watu wafariki kutokana na mvua zinazo nyesha

Zaidi ya watu kumi wafariki kutokana na mvua kali zinazo nyesha mjini Bukavu kivu kusini.Nyumba kadhaa zinajengwa juu ya mlima kwa kutumia mbao .Viongozi wa mahali waliripoti mwanzoni mwa wiki yapata nyumba 80 kubomoka na watu kupoteza maisha kwa kuangukiwa na nyumba.Viongozi wanasema yakuwa ujengaji kiolela pasipo ku heshimu sheria  huchangia kwa uharibifu huo.

Favicon Bukavu Drc Watu wafariki kutokana na mvua zinazo nyesha