Mwanamuziki kutoka nchini Burundi anayetambulika kama BIG FIZZO au MMP kama anavyojiita amewataka warundi na wapenzi wa muziki wote wampigie kura kwenye tuzo za NSHUTI MODELING kwenye nafasi ya BEST MALE ARTIST.

Ukitaka kumpigia kura BIG FIZZO kwa nafasihiyo bonyeza kwenye hii link hapa chini.

http://www.nshuti-modeling.com/male

Favicon BIG FIZZO awaomba warundi wampigie kura kwenye BEST MALE ARTIST