Hawa ni wamoja kati ya wasanii kibao wanaosemekana kutumia beat la Msanii kongwe FRENCH MONTANA kwa wimbo wake wa ALL THE WAY UP.

Vijana hao wenye makaazi yao KIGOMA wameachia wimbo wao unaobeba jina la KIGOMA STAND UP huku wakilitumia beat la Mwanamuziki FRENCH MONTANA.

Sikiliza wimbo huo hapo juu.Usiasahau kuwashirikisha wenzako kwa mengi zaidi.

Favicon Beat la wimbo wa FRENCH MONTANA all the way up lachezewa na wasanii kibao