Kwa mara nyingine tena YEROO YEROO au MASODJA COMBINATION,Wameachia video ambayo wengi walikuwa wakiisubiri kwa hamu kumbwa.

Video yao ya wimbo uliopewa jina la BARAZINANYE imetengenezewa kwenye jumba la ZENGES ENTERTAINMENT kwa mkono wake ZENGES BOY.

Tazama video hapa hapa bila chenga zozote.

Washirikishe wengine.

Favicon Barazinanye by Masodja l Official video