B Face na Rally wawaacha midomo wazi wapenzi wa muziki wa Burundi

Mchana wa leo tarehe 25-2017 uwanja wa ndege wa Bujumbura B FACE na RALLY ndipo wamefunga safari yao kuelekea nchini Tanzania huku wakiwaacha midomo wazi wapenzi wa muziki wa Burundi kwa kushindwa kukiweka wazi kinachowapeleka Nchini Tanzania.

B Face na Rally wawaacha midomo wazi wapenzi wa muziki wa Burundi

wakizungumza na mwaandishi wa gazeti letu la SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS wamesema kwamba wanaenda kikazi tu hakuna kingine ila siyo mpaka wataje ni kazi gani inayowapeleka ila inajulikana kama ni muziki.
wameendelea wakisema kuwa mashabiki tu wawaombee mema tu vingine watavijua wakirudi.hayo ni maneno ambayo yamesemwa nao.
B Face na Rally wawaacha midomo wazi wapenzi wa muziki wa Burundi

Favicon B Face na Rally wawaacha midomo wazi wapenzi wa muziki wa Burundi