Transport ecolo. Mambo yaku haribu mazingira na petroli hamna.
Tu vushe gari hihi kwenye lile kando .
Tu vushe gari hihi kwenye lile kando .
Mazumgumzo ambayo ili kuwa ime endeswa na rais wa zamani wa tanzania ‘Benjamin Mkapa’ ina onekana kama hahi lete matunda. Basi, ndani ya jamhuri ya Burundi, Tume ya Taifa ya mazungumzo baina ya Burundi ili hamuwa ku fanya mashauriano juu ya inchi. Moja la wazo ambalo wame leta ni kwamba: Idadi Rais wa Jamhuri atumiye […]
Tu handikiye. Sikiya vipindivya swahili grands lacs medias. swali ni hihi: 1 – Tupe jina la familiya la mtangazaji wa swahili grands lacs medias anaye simamiya kipindi cha Isametcho Show. 2- Tupe jiji analo ishi. Ili ujuwe hivo, ya bidi usiye vipindi vya redio swahili grands lacs medias kwani jina lake lina semeka ndani. NB: […]
Kweli ukimwona uta sema dhaaa, …. [embedyt] http://www.youtube.com/watch?v=FvA49KMbVx8[/embedyt]
Msani Bill kill alipita studio na aka tupa news kuusu kazi yake ya uhimbaji.