Search in the website:

Author: Albert NZOBE / Page 2

DRC/ Félix Tshisekedi adhibitisha ya kuwa Banyamulenge ni raia wa drc.

Written by on 21 janvier 2020

Aki hutubia raia wa congo waishio uingereza juma pili january 19,rais wa drc Felix Kisekedi ameonyesha ya kuwa Banyamulenge ni raia wa drc.Masemi hayo yazusha hali ya sito fahamu miongoni mwa wana siasa na raia. Félix Tshisekedi asema »Banyamulenge ni wa congomani,wamebaki vizazi na vizazi katika inchi ya drc.Ni sawa sawa na nyinyi namna mlivyo […]

Read More

DRC/Masemi ya Martin Fayulu,yazuwa hofu.

Written by on 20 janvier 2020

“DRC tayari Kugawanyika kwa pasenti 70, Rais wa sasa Félix Tshisekedi anaendeleza kazi ya mtangulizi wake Joseph Kabila”.Ni masemi yake mgombea wa dhamani kwenye urais inchini drc,Martin Fayulu.Habari zinazo kamilishwa kwenye mtandao wa La libre Afrique.January 17 aliendesha maandamano akipinga inchi kugawamyika.Mashtaka yake yote yatupiliwa mbali na Umoja wa Mataifa pamoja na inchi ya Rwanda.

Read More

DRC-Uvira/Mgomo wa kupinga inchi kugawanyika waandaliwa na shirika jipya la kiraia.

Written by on 20 janvier 2020

Shirika jipya la kiraia la andaa mgomo baridi mnamo januari 23 katika eneo la uvira ,wa kipinga inchi ku tawaliwa na wageni.Andre Byadunia Kiongozi wa shirika jipya la kiraia aliambia swahili grands lacs medias yakuwa »Hatuja sikia hata raia mmoja ambae yuko tayari kwamba inchi ya drc igawanyike .Hiyo ni sababu mmoja wapo Sisi hatu […]

Read More

Mashariki mwa DRC/Jeshi la tangaza motokeo ya mapigano dhidi ya waasi mnamo mwa 2019.

Written by on 10 janvier 2020

Yapata wapiganaji elfu mmoja na mia inne (1400)ndio wame tokomezwa na silaha 667 kukamatwa mashariki mwa Drc mnamo mwaka wa 2019,Ndivyo ya dhibitisha Jeshi ya jemuhuri ya kidemokrasia ya kongo.Wapiganaji hao walikuwa wa vikundi tofauti mashariki mwa drc. Sekta ya kijeshi sokola ya 2,husika na kupambana dhidi ya makundi hayo ya kijeshi ya ndani na […]

Read More

DRC-UVIRA/Watu tatu wauliwa wakiendesha operesheni ya wizi.

Written by on 9 janvier 2020

Watu tatu wa uliwa wakiendesha operesheni ya wizi usiku wa kuamkia siku ya inne january tarehe tisa katika mji wa uvira commune ya kavimvira.Watu hao, walikuwa wenye kushikilia silaha ambao walikuwa tayari wame faulu kutembelea nyumba 2 za waakazi na kupeleka vitu vyao.Kupitia kelele za wahanga,raia waliamka na kufuatilia wedhi hao.Walipo anguka mikononi mwa raia,kwa […]

Read More

DRC-ITURI/Watu wanne wauliwa kwa risasi tarafani Djugu

Written by on 3 janvier 2020

Watu wanne wameuliwa hasubui ya disemba tarehe tatu katika kijiji cha Adye tarafani djugu mashariki mwa congo.Wapiganaji wa CODECO wa shutumiwa kuendesha mauwaji hao. Kiongozi wa shirika la kiraia CHARITE BANZA , amesema ya kuwa wapiganaji wa CODECO wali tumia silaha za moto kwa ku wauwa watu hao.Watu hao inne, walikuwa wakitokea katika kijiji cha […]

Read More

Share
Share