Album ya Adele, 25 imeuza nakala milioni 10 nchini Marekani na kumfanya kuwa mwanamuziki wa Uingereza aliyeuza zaidi katika karne hii.

Kufuatia album hiyo iliyotoka November mwaka jana kupata hadhi ya ‘diamond platinum’ yaani kuuza nakala milioni 10, msanii huyo alipewa ngao katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York, ambako ametumbuiza show sita zilizojaa.

Album ya Adele 25 yauza nakala milioni 10 Marekani

Pia album yake ya mwaka 2011, hadi sasa imeuza nakala milioni 14 Marekani pekee.

 

Favicon Album ya Adele 25 yauza nakala milioni 10 Marekani