Abarundikazi by Natacha download mp3
Baada ya kujijengea jina na umaarufu mkubwa kwa kazi yake iliyomtambulisha nyumbani na kimataifa pia SHIKILIA.Mwanamuziki kutoka nchini Burundi anayetambulika kwa jina la NATACHA LA NAMBA au LA BABAMBA kama anavyopenda kujiita,ameachia wimbo wake mpya ulipewa jina la ABARUNDIKAZI, ambao umekuja kuchukuwa nafasi ya SHIKILIA baada la muda mrefu sana ukitamba na kumpa jina zaidi.
Wimbo huo ambao umebeba sifa zote za Mwanamke wa Kirundi umetengenezwa na Producer wake anaejulikana kama Aron NITUNGA.

Sikiliza na pakua wimbo huo hapa,usisahau kushare na wengine kama akawaida yetu.

Favicon Abarundikazi by Natacha download mp3