TOP 1 OF THE WEEK

Ibraah ft. Harmonize - One Night Stand

 

Burundi Radio Home

Burundi/Wananchi wategemea mabadiliko makubwa baada ya uchaguzi.

27 janvier 2020

Baada ya Jenerali Evariste Ndayishimiye kuteuliwa kuwa mgombea kwenye uchaguzi wa mei 2020 inchini Burundi akitokea chama tawala cha CNDD-FDD,wengi wana tegemea kwamba watayaona mabadiliko makubwa ikiwa atafaulu kuchaguliwa kuwa rais wa inchi hiyo. Hata hivyo wengi wanasema Burundi imepiga hatua kubwa baada ya rais anayaemaliza muhula wake hivi karibuni kutekeleza ahadi yake ya kutogombea […]

EVARISTE Radio Home

Burundi/ Mgombea wa urais wa chama tawala nchini Burundi atambulika

26 janvier 2020

Jenerali Evariste Ndayishimiye ametangazwa kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu ujao inchini Burundi.Huyu ata wakilisha chama tawala cha CNDD-FDD katika uchaguzi ujao. Rais wa sasa Peter Nkurunziza ,alitangaza ya kuwa kamwe hata wania tena ugachugi utakao fanyika mwezi mei 2020. Kutangazwa kwake Jenerali Evariste Ndayishimiye kumefanyika leo juma pili katika kikao kilicho endeshwa katika […]

Shadari Radio Home

Drc/Ramadhani Shadary na Marcelin Cishambo waziwiliwa kusafiri.

25 janvier 2020

Katibu mkuu wa Chama cha People’s Reconstruction and Democracy (PPRD) alizuiliwa Ijumaa Januari 24 kusafiri kwenda kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa N’djili.Kulingana na vyanzo vya karibu na uwanja wa ndege ambao waliwakilisha kwa vyombo vya habari Juma mosi hii, Ramazani Shadary na Marcelin Cishambo walitaka kufanya safari hii kwa kutumia pasipoti zao za […]

Ff Drc F lix Tshisekedi atishia kuwafuta kazi mawaziri wake

Drc/Félix Tshisekedi atishia kuwafuta kazi mawaziri wake.

21 janvier 2020

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametishia kuwafuta kazi Mawaziri wake na kulivunja bunge, iwapo washirika wake wa Kisiasa ambao wanaegemea katika mrengo wa Rais wa Zamani Joseph Kabila, wataendelea kumdharau Tshisekedi amesema, “Wamenipa tabu sana, wanasubiri nishindwe kutimiza kazi yangu. Wananisukuma kufanya mambo ambayo sijapanga kufanya, kama ni kuvunja Bunge naweza kulivunja, na […]

Felix DRC F lix Tshisekedi adhibitisha ya kuwa Banyamulenge ni raia wa drc

DRC/ Félix Tshisekedi adhibitisha ya kuwa Banyamulenge ni raia wa drc.

21 janvier 2020

Aki hutubia raia wa congo waishio uingereza juma pili january 19,rais wa drc Felix Kisekedi ameonyesha ya kuwa Banyamulenge ni raia wa drc.Masemi hayo yazusha hali ya sito fahamu miongoni mwa wana siasa na raia. Félix Tshisekedi asema »Banyamulenge ni wa congomani,wamebaki vizazi na vizazi katika inchi ya drc.Ni sawa sawa na nyinyi namna mlivyo […]

MARTIN FAYULU DRC Masemi ya Martin Fayulu yazuwa hofu

DRC/Masemi ya Martin Fayulu,yazuwa hofu.

20 janvier 2020

“DRC tayari Kugawanyika kwa pasenti 70, Rais wa sasa Félix Tshisekedi anaendeleza kazi ya mtangulizi wake Joseph Kabila”.Ni masemi yake mgombea wa dhamani kwenye urais inchini drc,Martin Fayulu.Habari zinazo kamilishwa kwenye mtandao wa La libre Afrique.January 17 aliendesha maandamano akipinga inchi kugawamyika.Mashtaka yake yote yatupiliwa mbali na Umoja wa Mataifa pamoja na inchi ya Rwanda.

Load more


SGLM TV

EXCLUSIVE VIDEO

Msaani Marhox  toka Canada ana tupa video. 

OFFICE YETU

Saa za kazi

Juma tatu- Ijuma:
Saa: 8:00-18:30 Hrs
(Phone mpaka 17:30 Hrs)

ANUANI YA OFICE

1st floor , Negatu building. 10 Robert sobukwe Road, Bellville 7530 wesetern cape
Phone:+27 73 262 9888

NUNUA NYIMBO

i love. swahili grands lacs medias.

Play